1. Wanastahimili sana magonjwa.
2 Wanataga mayai mengi mpaka 240 kwa mwaka kama ukiwalisha vizuri kwa miaka mitano
3. Wanakua haraka sana. Wanafikisha mpaka kilo 3 kwa muda wa miezi mitatu kama ukiwalisha vizuri
4.Anatumika kama kuku wa nyama na mayai
Ukitaka kufuga kuku kibiashara usimwachie kuku kuhatamia mayai kwani unampotezea muda wa kutaga. Kusanya mayai weka kwenye mashine ya kutotolea vifaranga. Ukitaka kupata faida kubwa usinunue chakula bali tengeneza mwenyewa kwani bei za vyakula zimepanda sana. Kwenye ufugaji asilimia 80 inaenda kwenye ulishaji na asilimia 20 inaenda kwenye madawa. Je wajua kama wafugaji wote wangejua huu mmea basi maduka ya madawa yote yangefungwa. Mmea huu ni kinga ya magonjwa yote ya kuku nimekuwa nikitumia kwa miaka saba. Kama unataka kujua jina la mmea na namna ya kutumia angalia video hapo juu. Nauza vifaranga chotara wasiliana na mimi kwa sms/whatsapp @ +255 762 380001.Napatikana Mbeya.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2R-05zSaPZdOBGsydtMW9vRoUE5HDamsjTPaJliYY8JnDURKyQfb3O9zqyqeN4c7b1cP9BrvWX-MAqEiI6YK_4MbYFxzGzksZHE3Dw6yd1C0McwcEH6RQGMIUy3cBw-f5dZiNgm29Ejet/s1600/ufugaji-wa-kuku-chotara.jpg)
Aaante kwa ushauri ila naomba unijulishe huo mmea nani niweze kuutumia kwani ndio nimeanza ufugaji hivyo nahitaji ushauri na nafunzo zaidi
ReplyDeleteasante nahitaji sana chotara bei ni kiasi gani? na nawapataje? naomba nipatie logistics zote ili nijipange

ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteAsante kwa elimu je chakula cha kuku unatengenezaje unachanganya nini na nini na kwa ratio ipi?
ReplyDeleteNaomba kufahamu ugonjwa wa kuvimba macho na kutetemeka
ReplyDeletenahitaji kujua mmea huo namba ya simu : 0712617392
ReplyDeleteNimependa darasa lako asee ilakuwa wazi zaidi
ReplyDelete